GET /api/v0.1/hansard/entries/393520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 393520,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/393520/?format=api",
"text_counter": 208,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, wakati Sen. Kiraitu Murungi alipokuwa akiongea kwa Lugha ya Kiingereza, nilidhani Kiingereza chake ni tofauti kabisa na cha Sen. Kajwang. Matamshi ya lugha yoyote hutegemea mazingira anamokulia mtu. Si makosa yangu kuwa na ulimi mzito. Mimi sijui mnavyotamka jina la kwanza la Bi. Serem. Mimi namjua kama Hasara Serem. Kwa hivyo, ni juu yenu kutafakari ninaongea juu ya nani. Hilo ndilo jina nilalolijua. Nikiliandika jina lake chini ni Sarah Serem. Lakini ninapolitamka linakuwa ni Hasara Serem. Hauwezi kuongea mambo ya commission bila kuongea mambo ya Hasara Serem. Tunamjua kama mama aliye na watoto na familia yake, lakini amekosa utu na----"
}