GET /api/v0.1/hansard/entries/394682/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 394682,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/394682/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chelule",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13126,
        "legal_name": "Liza Chelule",
        "slug": "liza-chelule"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, naunga mkono Hoja hii ingawa ninajua kuwa kuna shida ya nafasi katika barabara. Watu hukaa barabarani kwa zaidi ya masaa mawili au matatu bila kufika ofisini. Hii inachangia mabaya sana katika ujenzi wa uchumi wa nchi. Hii ni Hoja nzuri sana ambayo ingetekelezwa jana."
}