GET /api/v0.1/hansard/entries/394685/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 394685,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/394685/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mbura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13153,
"legal_name": "Emma Mbura Getrude",
"slug": "emma-mbura-getrude"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kwa siku chache ambazo nimekaa Nairobi, kuna maswala ambayo najiuliza kuhusiana na mambo ya barabara. Barabara kuu ya Thika iko na karibu leni 12 na inaingia katika Jiji letu la Nairobi. Ukishaingia Nairobi utapata leni mbili tu. Kwa hivyo barabara ya leni 12 inaungana na barabara ya leni mbili pekee yake katika Jiji letu. Hiyo inachangia msongamano wa magari katika Jiji letu la Nairobi."
}