GET /api/v0.1/hansard/entries/394696/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 394696,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/394696/?format=api",
    "text_counter": 86,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13153,
        "legal_name": "Emma Mbura Getrude",
        "slug": "emma-mbura-getrude"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, nilikuwa nasema kwamba haya yote tunayoongea hapa kuhusu shida za barabara zimechangiwa sana na Serikali zilizopita na wanasiasa wa hapo awali. Nakumbuka zamani container zilikuwa zikibebwa kwa gari la moshi."
}