GET /api/v0.1/hansard/entries/394721/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 394721,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/394721/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13153,
        "legal_name": "Emma Mbura Getrude",
        "slug": "emma-mbura-getrude"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, kwa sababu mmeniomba nitoe thibitisho, naomba kuondoa statement yangu kwa sababu ni kitu nilichokiona likini sina ushahidi. Lakini ninataka kuirekebisha na kusema kwamba ningependa kutahadharisha na kutoa onyo kwamba huenda ambulance na magari ya kuzima moto yakatumiwa kwenye biashara isiofaa, kwa sababu magari hayo hayasimamishwi."
}