GET /api/v0.1/hansard/entries/396690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 396690,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/396690/?format=api",
"text_counter": 138,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Hassan",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 431,
"legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
"slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
},
"content": "Hoja ya Nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Nataka kujua umetumia kifungu gani katika nidhamu zetu za Seneti, yaani, Standing Orders, kwa wewe kutoka kwenye kiti chako na kukaa katika kiti hicho cha Uspika."
}