GET /api/v0.1/hansard/entries/397781/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 397781,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/397781/?format=api",
    "text_counter": 64,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Obure",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 118,
        "legal_name": "Christopher Mogere Obure",
        "slug": "christopher-obure"
    },
    "content": "Hoja ya Nidhamu, Bi. Spika wa Muda. Ningependa kujua kweli kama kuna Serikali kuu na serikali ndogo. Nafikiri hiyo ni kupotosha wananchi. Ukweli ni kwamba kuna Serikali ya kitaifa na serikali ya ugatuzi."
}