GET /api/v0.1/hansard/entries/398097/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 398097,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398097/?format=api",
    "text_counter": 232,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Ningesema tu kwamba kile Mh.e Lentoimaga ameuliza ni hawa askari wa nyumbani wapate pesa kidogo ili waanze kufanya kazi. Kazi ile wanafanya katika maeneo yetu ni kazi ya askari. Kila wakati wako mpakani wakichunga mifugo na wananchi; wanatembea usiku na mchana na hawana chochote. Serikali yetu imekubali kuwapatia bunduki. Kama Serikali imekubali kufanya hivyo ndio wapate kuangalia maeneo yao, tunaomba pia wapate pesa kidogo za kujisaidia."
}