GET /api/v0.1/hansard/entries/398102/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 398102,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398102/?format=api",
"text_counter": 237,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Wakati huo Wasamburu, Turkana na Pokot walikuwa wanachunga mpaka bila hata nguo. Hao ndio walikuwa askari wakati huo na ndio unaona Kenya yetu imesimama mpaka tangu wakati wa kupata Uhuru mpaka sasa. Hii ni kwa sababu ya hawa watu. Kwa hivyo, hawa ni askari wa nyumbani. Serikali imekubali kuwapatia bunduki kwasababu wanaelewa ni watu ambao wanaweza kuchunga watu wengine. Kwa hivyo, tunaomba wapewe pesa kidogo kwa kufanya hiyo kazi. Pia inafaa wapewe mavazi na magari ndio wakisikia kitu waanze kukimbia wakienda pale."
}