GET /api/v0.1/hansard/entries/398103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 398103,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398103/?format=api",
    "text_counter": 238,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 379,
        "legal_name": "Maison Leshoomo",
        "slug": "maison-leshoomo"
    },
    "content": "Mhe Naibu Spika wa Muda, mnajua kama kungekuwa na home guards wa kutosha katika maeneo yote ambayo mwenzangu ametaja mauaji yalitokea, hayangetokea. Tunaomba wapewe pesa hizi kwa sababu tunaishi katika maeneo ya milima na mabonde. Askari wa kutoka hapa akipelekwa kuchunga kule hawezi kuchunga huko kwa sababu hajui barabara. Hakuzaliwa huko. Hajui hii milima na pia hajui apitie wapi. Yule anayeishi pale ndiye anajua maeneo yapi ya kupitia au maeneo gani wakora watatokea. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}