GET /api/v0.1/hansard/entries/398104/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 398104,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398104/?format=api",
"text_counter": 239,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Tunaomba katika mipaka yetu yote askari wapelekwe ambao wanaweza kuchunga, hata kama ni home guard, polisi, Administration Police (AP) na jeshi. Tunaomba hawa watoto waandikwe na mutaona vile Kenya itachungwa kwasababu wanaelewa mipaka yote. Ukiniambia eti nitoe mtoto ambaye amezaliwa Nairobi na nimpeleka Lokichoggio, ataenda kufanya nini? Ataenda lakini atashindwa kufanya kazi kwa sababu ya jua kali. Hakuna maji lakini wenyeji wamejua kuishi huko."
}