GET /api/v0.1/hansard/entries/398105/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 398105,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/398105/?format=api",
"text_counter": 240,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Leshoomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Naibu Spika wa Muda, kwa hivyo ninasema Serikali yetu ijaribu kusaidia hawa askari wa reserve . Tunataka wapewe pesa, magari, mavazi na kila kitu ndio wachunge maeneo hayo. Hata wizi wa ng’ombe hautatokea tena wakiandikwa. Ngamia na punda hawataibwa tena wakipewa nafasi hii kwasababu wanaelewa maeneo hayo. Wizi wa mifugo utaisha. Kwa hivyo, Wabunge pia watajua watu wao ni wangapi. Hatutaenda kwa wakubwa wa polisi kama OCPD kuwahoji. Tutaenda kwa hawa askari. Watachunga mipaka na wizi wa mifugo utaisha."
}