GET /api/v0.1/hansard/entries/399727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 399727,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/399727/?format=api",
    "text_counter": 128,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Bw. Spika, labda Sen. Haji hakumuelewa Sen. (Dr.) Machage kwa sababu amerudia tu yale maneno yaliyozungumzwa na Mkuu wa Majeshi kwamba ni kweli na ni dhahiri kwamba wanajeshi walipatikana kwa makosa ya kuiba. Wawili wamefutwa kazi na mmoja amefungiwa katika jela yao na wanaendelea kuchunguza zaidi. Kwa hivyo, hili ni jambo ambalo limekubalika kwamba lilitokea."
}