GET /api/v0.1/hansard/entries/400597/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 400597,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/400597/?format=api",
"text_counter": 517,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Nguzo tatu za Serikali ni Bunge, Mahakama na Utawala. Bunge linatunga sheria, Utawala unatekeleza sheria na kama kuna ugomvi, Mahakama inatatua huo ugomvi. Leo Bunge litachukua jukumu la utunzi wa sheria, litatoa hukumu kati ya Erad na NCPB--- Naona tunavuka mpaka na tunazungushwa hapa. Wanaopiga hesabu hii wanajua wanafanya nini. Miezi sita, sisi tumetarajia Ripoti ambayo itatupatia mwongozo na walioandika Ripoti hii ndio wanakuja kuikosoa. Ikiwa wenyewe wanaikosoa, sisi tuna wajibu wa kuikataa kwa sababu wenyewe hawana imani nayo."
}