GET /api/v0.1/hansard/entries/400602/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 400602,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/400602/?format=api",
"text_counter": 522,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mhe. Spika, mwisho, kuna mzozo kati ya NCPB na Erad mbele ya Bunge la Kenya, na Bunge haliwezi kuangalia sehemu moja. Mahakama inaangalia haki ya Erad na NCPB. Lakini hapa tunapewa mwongozo. Jiulize swali moja. Kampuni ambazo zimeletwa mbele yetu ni saba. Hizi kampuni zingine ni za nani? Tumeambiwa Erad ni ya nani kwa sababu wenyewe wametajwa."
}