GET /api/v0.1/hansard/entries/400603/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 400603,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/400603/?format=api",
"text_counter": 523,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "Mahindi yaliyoletwa ni metric tonne 70,000 na LC imetiwa sahihi. Saa hii hatutaki kusema kwamba tunaweka hii chini. Tunambiwa shetani mkubwa ni Erad. Bunge lina haki kuangalia haki ya kila Mkenya. Wajibu wa kuangalia haki ya Erad na NCPB ni wa mahakama na si Bunge. PIC isitufanye sisi hapa kuwa korti ndogo."
}