GET /api/v0.1/hansard/entries/400763/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 400763,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/400763/?format=api",
    "text_counter": 63,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Kwanza, ningependa kukushukuru kwa uamuzi wako wa busara ambao una masilahi mazuri sana. Lakini cha msingi ni kwamba Seneti hii ilikuwa imeshakata shauri na majina kupelekwa. Yalipokuja hapa hayakuwa na mjadala wa vyama. Yalipopelekwa Bungeni, majina hayo yalibadilishwa---"
}