GET /api/v0.1/hansard/entries/400772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 400772,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/400772/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Hassan",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 431,
        "legal_name": "Hassan Omar Hassan Sarai",
        "slug": "hassan-omar-hassan-sarai"
    },
    "content": "Bw. Spika, kwa sababu ndugu yetu alianza kwa lugha ya Kiswahili, tutaendelea nayo. Tuliufwata pia ule mjadala uliokuwa unaendelea katika Bunge na ukisikiza fikira zao na tukikubali waweke msingi huo, huenda sisi tukajipata katika hali duni katika kila jambo ambalo linataka uwakilishi."
}