GET /api/v0.1/hansard/entries/403578/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 403578,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/403578/?format=api",
    "text_counter": 365,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Ahsante, Bw. Naibu Spika wa Muda. Nakushukuru sana kwa sababu hata sisi wengine tumekuwa tukijaribu sana kuzungumza katika Bunge hili lakini hatukupata nafasi. Nilikuwa nimeingiza kadi yangu alafu nikatoka nje. Sasa ndiyo nimerudi."
}