GET /api/v0.1/hansard/entries/403581/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 403581,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/403581/?format=api",
"text_counter": 368,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 874,
"legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
"slug": "mishi-juma-khamisi"
},
"content": "ni yeye ataliunda. Wakati jopo hili la kuangalia mambo ya utetezi litakuwa limepeleka mapendekezo yake kwa Waziri, basi Waziri anaweza kusema kwamba, mtu fulani ua mwandishi habari amekosea katika jambo hili. Lazima tujue tutokako ni mbali na tunakofika ni karibu. Iwapo tunataka kubaki pale karibu tulipo, na kulinda wanahabari; kuhakikisha Wakenya walalahoi wamepata haki zao za kimsingi ambazo ni Katiba iliowapa haki kama hizo, tuwache wanahabari wenyewe watengeze jopo lao ama baraza lao kuu la kuangalia haki za wanahabari. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}