GET /api/v0.1/hansard/entries/403582/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 403582,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/403582/?format=api",
    "text_counter": 369,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Khamisi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 874,
        "legal_name": "Mishi Juma Khamisi",
        "slug": "mishi-juma-khamisi"
    },
    "content": "Tunajua kwamba baraza hili, bila ya kuwa na hilo tume la malalamiko, lina nguvu zaidi. Mswada huu umezungumzia mambo mengi zaidi ambayo yameangazia vile watalinda wanahabari na vile watalinda nchi katika kuangazia habari. Kwa hayo mengi ama machache, ninapinga Mswada huu. Ikiwa Mswada huu utaendelea, basi Wabunge wenzangu, tuweze kuupiga msasa, tufanye marekebisho madogo madogo, ndipo tuweze kupata Mswada ambao utawapatia hadhi wanahabari na sisi tunaosikiza habari. Asante."
}