GET /api/v0.1/hansard/entries/404403/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 404403,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/404403/?format=api",
"text_counter": 247,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kwa sababu mwandishi ndio anaweka rekodi wakati ambapo kamati inakutana. Na kama Seneta angekuwa secretary sijui ingekuwaje. Lakini kwa sababu wao wenyewe watakuwa secretaries, itakuwa vizuri kwa sababu wao ndio watachukua rekodi za mikutano. Kwa hayo machache, ninaunga Mswada huu mkono."
}