GET /api/v0.1/hansard/entries/404878/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 404878,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/404878/?format=api",
    "text_counter": 246,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, pia nimeshangaa kwa sababu Mswada huu, hata kama ni mzuri kiasi kile, haujagusia kule kuathirika kwa ngozi; unajua kwamba ngozi ni kiungo kikubwa sana cha mwili. Ni asilimia ishirini ya miili yetu. Kwa hivyo, nafikiria pia kunafaa kuwa na vipengele ambavyo vinazungumzia vile ambavyo ngozi inaweza pia kuathirika."
}