GET /api/v0.1/hansard/entries/404880/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 404880,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/404880/?format=api",
    "text_counter": 248,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Bi. Naibu Spika wa Muda, nikimaliza nasema kwamba lazima tuangazie kwamba hizi hela ziongezwe na pia kuwe na mikakati ya kuhakikisha kwamba tunaangazia sio tu ulemavu wa viungo lakini vile ambavyo tunaweza kujizatiti katika jamii."
}