GET /api/v0.1/hansard/entries/405984/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 405984,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/405984/?format=api",
    "text_counter": 87,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "itatangazwa kuwa hifadhi ya wanyama. Nilipokuwa katika Bunge la Tisa, Kola ilikuwa national reserve. Hatukuhusishwa kwa mkutano wowote na leo Kola ni national park. Mchakato huu ni lazima uhusishwe mwananchi wa kawaida. Ninaambiwa ya kwamba kupitia Kifungu cha 38(1) (a), (b) and (c), Waziri ana uwezo wa kuamka na kutangaza sehemu kuwa national park au marine park. Uwezo huyoni lazima upitishwe na Bunge ili Waziri asiwe na mamlaka kama hayo. Kwa nini asipewa mamlaka kama hayo? Kwa sababu Kifungu cha Katika cha 63(2)(d)(i) mpaka (iii) kinazungumzia juu ya ardhi ya wafugaji na ardhi ya umma ambayo haiwezi kutangazwa na Waziri kutumiwa kwa matumizi mengine."
}