GET /api/v0.1/hansard/entries/406077/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 406077,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/406077/?format=api",
    "text_counter": 180,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Kombe",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 250,
        "legal_name": "Harrison Garama Kombe",
        "slug": "harrison-kombe"
    },
    "content": "unafaida chungu nzima.Hakuna sehemu moja ya mnazi ambayo utaitupa.Kila sehemu inayo faida. Ukipata mnazi umeharibiwa na hali kiwango kimetengwa kulipa mnazi ni duni kabisa--- Inapaswa hili lizingatiwe ili pawekwe kiwango kinachostahili na kinachoweza kukimu hali ya maisha ya mkulilma. Wenyeji wanaoishi karibu na sehemu zilizotengewa wanyama pori sharti wapate kiwango fulani kutoka kwa mapato ya utalii. Baadhi ya jamii pia ziruhusiwe kubuni mashamba ya wanyama.Hivyo, watawaalika watalii kutembelea mbuga hizo zilizobuniwa. Hii ni njia ya kupata mapato ya kukimu hali yao ya maisha. Kuna sehemu nyingi ambazo ni kame na zinaweza kutumika kuhifadhi wanyama. La ziada sina. Nawapa nafasi wenzangu nao wachangie.Ahsante."
}