GET /api/v0.1/hansard/entries/407555/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 407555,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/407555/?format=api",
"text_counter": 154,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Wario",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 252,
"legal_name": "Ali Wario",
"slug": "ali-wario"
},
"content": "naibu wake amejiuzuru na matatizo mengine. Kwa hivyo, hata hatujui walitulia lini na wakaja na Ripoti hili. Je, Ripoti hii ikitaja mtu, mtu yule alipewa fursa ya kujisafisha? Sheria inahitaji kuwa ukimtaja mtu, ni lazima umpe fursa ya kujieleza. Kwa hayo machache, Bunge lina wajibu na naunga mkono."
}