GET /api/v0.1/hansard/entries/407938/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 407938,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/407938/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika. Ningependa kusema kwamba huu ni Mswada muhimu sana kwa Wakenya. Kulingana na mambo yoyote yanayohusu habari, hiki ni kiungo cha kati baina ya mwananchi na viongozi wake. Katiba inasema kwamba katika jambo lolote ambalo linahusu wananchi au kaunti, Seneti itahusishwa wakati wowote ikiwa kutakuwa na Mswada. Habari ni kiungo cha kati ambacho kinahusu mambo ya wananchi. Itakuwa na upungufu kuona ya kwamba Mswada kama huo unapitishwa na upande mmoja wa Bunge."
}