GET /api/v0.1/hansard/entries/411767/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 411767,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/411767/?format=api",
    "text_counter": 427,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. (Ms.) Ibren",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 834,
        "legal_name": "Nasra Ibrahim Ibren",
        "slug": "nasra-ibrahim-ibren"
    },
    "content": "Nashukuru, Bw. Naibu Spika wa Muda. Ahsante sana. Ukosefu wa amani katika Kaunti ya Marsabit haujaanza leo. Ulianza kitambo sana kabla ya sisi kuzaliwa. Lakini kila kitu kina kianzilishi. Vita vilivyoko wakati huu vilianzishwa na viongozi. Lazima ukweli usemwe. Viongozi ndio kila kitu. Ndio kiini cha ukosefu wa amani katika Kaunti ya Marsabit. Vita vilianza Moyale na kufika North Horr. Vikaja Saku na sasa viko Laisamis."
}