GET /api/v0.1/hansard/entries/411771/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 411771,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/411771/?format=api",
"text_counter": 431,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Ibren",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 834,
"legal_name": "Nasra Ibrahim Ibren",
"slug": "nasra-ibrahim-ibren"
},
"content": "wamekuwa wakimbizi upande wa Ethiopia. Hili jambo litaendelea mpaka lini? Gari la mwisho kuchomwa lilichomwa wakiwemo askari kadhaa pahali pale. Wale askari wanafanya kazi gani? Serikali lazima itusikie ama itueleze kwamba Marsabit siyo Kenya. Tunataka kujua ukweli wa mambo."
}