GET /api/v0.1/hansard/entries/411794/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 411794,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/411794/?format=api",
"text_counter": 454,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ni masikitiko sana kumuona Naibu wa Wachache hapa Bungeni, kila mara akipewa nafasi, ana tabia ya kuweza kutumia Bunge hili kuweza kubandikia watu maneno. Nataka kuuliza ya kwamba mwaka uliopita, tulikuwa na Serikali ya Mseto. Wakati huo, kulikuwa bado na vita---"
}