GET /api/v0.1/hansard/entries/413000/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 413000,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/413000/?format=api",
"text_counter": 752,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Napinga huu Mswada kwa sababu utapata Msajiri Mkuu wa Vyama vya Kisiasa, Rais anapatiwa mamlaka ya kuteu mtu aweze kufanya ile kazi, kabla ya Bunge kupitisha. Hilo silo jambo nzuri kwa sababu linaweza kutumiwa kuchelewesha kuchaguliwa Msajiri Mkuu wa Vyama vya Kisiasa. Jambo hilo litaadhiri sana mambo ya vyama vya kisiasa."
}