GET /api/v0.1/hansard/entries/41461/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 41461,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/41461/?format=api",
"text_counter": 197,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mrs. Leshomo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 379,
"legal_name": "Maison Leshoomo",
"slug": "maison-leshoomo"
},
"content": "Asante Bw. Naibu Spika. Mimi pia ningesema juu ya mambo ya wakimbizi wa ndani kwa ndani. Watu wanakimbizwa, na ninaamini kwamba kweli wako kila maahali. Hii ni kwa sababu tukisema ni wale tu walipigana kwa sababu ya siasa, kuna wale wamenyangâanywa ngâombe na kila kitu, na hawana pahali pa kuishi; hakuna mtu anayewachukua kama wakimbizi wa ndani kwa ndani. Mimi pia ningeomba Kamati hii iwafikirie watu ambao wametoroka makwao katika Kenya nzima. Ukienda kila pahali utakuta wakimbizi. Ningependa Kamati hii itembelee kila pahali kwa sababu kuna wakimbizi wa ndani kwa ndanii. Asante Bw, Naibu Spika wa kunipatia nafasi hii."
}