GET /api/v0.1/hansard/entries/414688/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 414688,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/414688/?format=api",
"text_counter": 88,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. Kombe",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 250,
"legal_name": "Harrison Garama Kombe",
"slug": "harrison-kombe"
},
"content": "Ninaunga mkono Hoja hii kwa sababu unapoandaliwa chakula, si lazima ule chakula hicho chote kama kimekuzidi. Kwa hivyo, si lazima utumie wakati wote mwingi ambao umepewa. Unaweza kutumia dakika moja kusema hoja zako na uachie wakati mwingine watu wengine. Hivyo ilivyo inastahili kabisa kwa sababu mwenye kuwasilisha Hoja, anahitaji wakati wa kutosha ili aweze kujieleza na aweze kueleweka ndipo wengine wapate fursa ya kumuunga mkono au kumpinga baada ya kuelewa Hoja hiyo."
}