GET /api/v0.1/hansard/entries/416669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 416669,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/416669/?format=api",
"text_counter": 53,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Ms.) Lay",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 1022,
"legal_name": "Joyce Wanjalah Lay",
"slug": "joyce-wanjalah-lay"
},
"content": "Vile ile, jana tulipitisha Uwezo Fund. Kwa hivyo, Uwezo Fund pamoja na nafasi hii ya zabuni inaonyesha kwamba matatizo kama ya njaa ama umaskini, kukosa karo na kukosa kazi yatakukwa historia. Kwa hivyo, ninamshukuru sana mhe. Sakaja na ninatumaini ya kwamba tutatengeneza Kipengele cha 39 ili tuweze kuongeza wamama na walemavu. Asante."
}