GET /api/v0.1/hansard/entries/417012/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 417012,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/417012/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Hon. (Dr.) Shaban",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "tupitishe hii mara moja na tufanye kazi pamoja na wananchi kuhakikisha kuwa maendeleo mashinani yamewawezesha watu wetu kuishi na kukabili matatizo yaliyoko. Hii ni kwa sababu kutafuta hela kwenye mabenki inahitaji kuwa na vyeti vya kumilki ardhi na mambo mengi ambayo Wakenya wengi hawana, hasa akina mama na vijana. Ahsante sana Bwana Spika. Naunga mkono."
}