GET /api/v0.1/hansard/entries/417027/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 417027,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/417027/?format=api",
    "text_counter": 124,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mungaro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 76,
        "legal_name": "Gideon Mung'aro Maitha",
        "slug": "gideon-maitha"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika. Ningetaka kuwashukuru wenzangu kwa kunirudishia kibarua. Ninaona ndio maana wanashangilia sana. Pia, ninakushukuru kwa kunipatia nafasi hii. Ninaunga mkono Hoja hii. Kile ambacho ningetaka kuonya katika marekebisho ya Senate ni kwamba tunatumaini kwamba wale watu wawili ambao waziri atachagua katika jopo hili hawatakuja kuwa kikwazo lakini watashirikiana na Kamati ambayo itaundwa katika maeneo ya Bunge, ili kuwarahisishia akina mama na vijana kuweza kupata pesa hizi. Vile vile, ninashukuru kwamba tunaweza kumaliza Hoja hii The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}