GET /api/v0.1/hansard/entries/417030/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 417030,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/417030/?format=api",
    "text_counter": 127,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Mungaro",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 76,
        "legal_name": "Gideon Mung'aro Maitha",
        "slug": "gideon-maitha"
    },
    "content": "Mwisho, tulisema mbeleni na tungependa kuuliza tena kama ingeweza kufikiriwa na Serikali, mfuko huu uwe kama CDF ili kila mwaka pesa hizi ziweze kuongezwa na vijana waweze kufaidika katika mfuko wa Uwezo Fund."
}