GET /api/v0.1/hansard/entries/418029/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 418029,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/418029/?format=api",
    "text_counter": 282,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kisasa",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13124,
        "legal_name": "Mshenga Mvita Kisasa",
        "slug": "mshenga-mvita-kisasa"
    },
    "content": "Bwana Spika wa Muda, ningependa kuunga mkono Hoja hii. Mimi kama mkaaji wa Kilifi, Hoja hii inanihusu sana. Hawa wazee, hawafai kujengewa makao. Wazazi wetu ndio wanaofanya twende nyumbani. Kwa hivyo, nimeshukuru kwamba watakuwa nyumbani na sisi. Kila mtu ambaye ana mtu mzee nyumbani huwa anatamani kwenda nyumbani. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}