GET /api/v0.1/hansard/entries/418207/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 418207,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/418207/?format=api",
    "text_counter": 112,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Bw. Spika wa Muda, ninashukuru maanake Kiswahili wakati mwingine kinachanganya. Jambo ambalo linatupatia utata ni kwamba bandari iko Mji wa Mombasa. Sasa tujiulize, Kaunti ya Mombasa kando ya zile kaunti tano zinazozunguka Mombasa, zinafaidika vipi kutokana na Bandari hii? Tukiitwa Wakenya tunaona raha. Bandari hii inachangia pakubwa uchumi wa nchi hii kutokana na ushuru unaotozwa wafanyabiashara. Bandari hii ni chanzo kubwa cha rasilmali ya Kenya hii. Sisi ambao tunachangia kikita rasilmali hiyo, kazi yetu kubwa ni kusema ‘amina’ huku watu wengine wakifaidika. Mambo haya ni lazima yabadilike. Kamati itakapokwenda tena pwani, ni lazima itie hayo ndani ya mawazo yao na iseme kwamba hawa ndio wanaozalisha nyingi za The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}