GET /api/v0.1/hansard/entries/418211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 418211,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/418211/?format=api",
"text_counter": 116,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Tunachosema ni kwamba wewe kula, lakini muache mwenzako pia naye ale. Lakini sasa wewe wataka ule peke yako na mwengine akose. Maneno matamu bila chochote hayafai. Haya ni mambo ambayo katika hali hii inayokuja ya kisasa, haikubaliki kamwe. Huu ugatuzi umekuja wakati uanaofaa sana. Ugatuzi ni kupeleka rasilmali mashinani. Kuna watu wanaotaka kuona baadhi ya mambo fulani yawe devolved na mengine yawe ya kitaifa kwa sababu yako kwenu. Ugatuzi ni lazima ufanyiwe mambo yote bila ubaguzi wowote. Ugatuzi utatusaidia sisi sote. Wengine wanafikiria kuwa ugatuzi ni kwa mambo au vitu vichache na vingine vibaki vya kitaifa. Sisi hatujakataa lakini vijana wa rika ya Sen. Hassan, hawatakubali mambo haya. Hili ni neno nasisitiza kulisema kila siku; kwamba rika ambayo iko kwa sasa ni ya wasomi---"
}