GET /api/v0.1/hansard/entries/418213/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 418213,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/418213/?format=api",
"text_counter": 118,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 758,
"legal_name": "Boy Juma Boy",
"slug": "boy-juma-boy"
},
"content": "Ninamshukuru Seneta nimpendaye mwenye maneno mazuri anayetetea haki za wanyonge. Lakini ninashangaa kwamba anaona hakuna haja ya haki ya Mpwani. Huyu ni Senata mzuri na mtetezi wa haki. Lakini ninashangaa kwamba anaona hakuna haja kwa Mpwani kupata haki zake. Bw. Spika wa Muda, hata kama baadhi ya viongozi wanapinga haki zetu ni lazima tupatate hata kama ni kwa asilimia ndogo. Tumewasikia Maseneta wakieleza kinaga ubaga faida zake Bandari ya Mombasa. Inafaa watu wa pwani nao waweze kuona bandari ikiwa na manufaa kwao. Hilo ndilo jambo tunalotetea. Sasa hapo pamezidi nini?"
}