GET /api/v0.1/hansard/entries/419571/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 419571,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/419571/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "kuendelea hivi. Je, Kshs3.9 bilioni zilienda wapi? Watu wanapewa pesa ambazo wanazitumia kwa manufaa yao, kisha kesho wanapandishwa vyeo. Anapewa ruhusa ya kuiba zaidi. Nikirejelea mambo ya laptops, je tutangojea Kshs24 bilioni ziingie katika shimo ili tuanze kulia?"
}