GET /api/v0.1/hansard/entries/419772/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 419772,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/419772/?format=api",
    "text_counter": 165,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy Juma Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 758,
        "legal_name": "Boy Juma Boy",
        "slug": "boy-juma-boy"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bw. Spika. Nidhamu yangu ni juu ya taarifa ambayo imetolewa hapa na Kiongozi wa Wengi katika Seneti. Ameeleza kinaga ubaga hali halisi ilivyokuwa wakati wa mgomo wa magari ya abiria yanayojulikana kwa umaarufu kama matatu. Naye Seneta wa Nairobi Kaunti, mhe. Mike Mbuvi amepinga vikali huku akidai imejaa undanganyifu. Sasa ningependa kupata mwongozo kutoka kwa Bw. Spika; ni nani kati ya hawa wawili waheshimiwa anayesema ukweli?"
}