GET /api/v0.1/hansard/entries/421067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 421067,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/421067/?format=api",
    "text_counter": 43,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 252,
        "legal_name": "Ali Wario",
        "slug": "ali-wario"
    },
    "content": "Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Baraza La Mitihani Nchini linaajiri wasimamizi wa mitihani siku ya mitihani. Mbali na hawa wasimamizi wanaosimamia mitihani, kuna askari ambao wanapelekwa kuangalia usalama wa watoto. Kutambuliwa kwa makosa au kuibiwa kwa mitihani hufanyika siku ya mitihani au ni baada ya kuchunguza ile mitihani? Hii ni kwa sababu wale wanaosimamia mitihani ndio wangesema jambo kama hili likitendeka. Mara nyingi ripoti huja baada ya ile mitihani kukaguliwa. Wale wanaolipwa kusimamia hii mitihani, ikiwa jambo la wizi wa mitihani limetendeka, Baraza linawachukulia hatua gani?"
}