GET /api/v0.1/hansard/entries/423408/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 423408,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/423408/?format=api",
"text_counter": 198,
"type": "other",
"speaker_name": "",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Naibu Spika, nataka kugusia haswa wale watu wa zamani wa upande wa Pwani. Sio Mau Mau peke yao waliopigania Uhuru;tuko na watu kama Mekatilili wa Menza, aliyekufa na hadi wa leo jamii yeke inapata taabu sana kwa sababu ya maonevu na huyu mama kupigania ya kwamba mashamba ya watu wa Pwani yasichukuliwe na watu wengine ama yasichukuliwe na Wazungu ila wenyewe wapate kama hivyo."
}