GET /api/v0.1/hansard/entries/423412/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 423412,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/423412/?format=api",
"text_counter": 202,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Wakati wa kulala usiku, alikuwa analala katika hali hiyo, nusu ya mwili wake ukiwa ndani ya maji. Kwa sababu ya jambo kama hili, ilibidi niende kortini kuielezea hali yake. Ninamshukuru sana Justice Ang’awa ingawa sasa ni hakimu kwa sababu aliamuru aachiliwe mara moja."
}