GET /api/v0.1/hansard/entries/425428/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 425428,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/425428/?format=api",
"text_counter": 271,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 179,
"legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
"slug": "wilfred-machage"
},
"content": "Hilo ni jambo la upuzi ambalo sisi tukiwa viongozi hatuwezi kulikubali. Nimefanya kazi na Gavana Wambora katika Bunge la Tisa. Ni rafiki yangu kabisa. Huenda aliyoyafanya akiulizwa asema: “Sijui, nimesahuau.” Huenda ni huruma tumpe, labda ni mgonjwa kwa sababu sio kawaida. Kama walimu wake walikuwa huko alipofundishwa kuwa kasisi na mwingine mwalimu Moi, sidhani kwamba tutatkubaliana na hayo kwa sababu tunamfahamu Moi, sidhani anatosha kuitwa mwanafunzi wa Moi. Iwapo ni hivyo singependa hawa wawe walimu wangu. Bw. Spika, tunasema hivi kwa magavana wa nchi hii: Ukiona cha mwenzio cha nyolewa, chako tia maji."
}