GET /api/v0.1/hansard/entries/425432/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 425432,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/425432/?format=api",
    "text_counter": 275,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Machage",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 179,
        "legal_name": "Wilfred Gisuka Machage",
        "slug": "wilfred-machage"
    },
    "content": "Tunajua kwamba viongozi wa Embu, MCAs sasa hivi labda baada ya hapa wataanza kusherekea kwa sababu wamenyewa na mvua. Aisifuye mvua imemnyea. Lakini wajue ya kwamba kuna mengi ya kurekebisha, kuleta uiano kwa Kaunti ya Embu baada ya Hoja hiyo. Kutakuwa na vita na vituko, warudi wakajipige konde waone walipotea wapi na watafakari yaliyotokea ili wajenge Kaunti ya Embu. Bw. Spika, Kipengele cha 182 cha toa uongozi utakavyokua baada ya hili jambo. Huenda kama tutakubaliana, na mimi nimekubaliana kabisa kupitisha Hoja hii, tutakuwa na Gavana wa kwanza mwanamke nchini Kenya. Lakini Katiba haisemi, iko kimya kabisa kwa jambo la Deputy Governor. Hili ni jambo ambalo tutahitaji kutafakari, kutakuwa na nini kama Kaunti ya Embu huenda ikaongozwa bila Deputy Governor? Lakini hata huyu ambaye amepata bahati ya mtende akachukua mamlaka ya kuwa Gavana Embu ajue kwamba pia akodolewa na janga la yaliyotendeka kwa Kaunti hiyo. Ingawa amepata hiyo bahati bado ako taabuni kuanza kuangalia kwamba shida ilianza wakati gani na suluhu ni ipi. Ingawa sisi hatukuona shida kwake, viongozi wa huko The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}