GET /api/v0.1/hansard/entries/425801/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 425801,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/425801/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mbura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13153,
        "legal_name": "Emma Mbura Getrude",
        "slug": "emma-mbura-getrude"
    },
    "content": "Hoja ya nidhamu, Bwana Spika. Kuhusu swala hilo, kuna kitu sijaelewa. Mtu akitaka cheti cha kuzaliwa, ni lazima apeane kitambulisho cha nyanya, babu, watu waliokufa zamani ambao vitambulisho vyao vilipotea? Ukiwa Mdigo, mtu ambaye anakufa kutokana na mkasa wa ferry, hauwezi kupata cheti hiki hadi upeane vitambulisho vya watu ambao walikufa zamani. Hivyo ni sawa?"
}